11 YANGA KUKOSA MCHEZO WA LEO

HABARI ZA MICHEZO.



Klabu ya Yanga itawakosa wachezaji wake 11 ambao wanasumbuliwa na majeraha .
 Wachezaji hao wwatakosekana katika mchezo wa eo dhidi ya Njombe mji mchezo utakaopigwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo majira ya saa 10:00.

Wafuatao ndyo watakao kosa mchezo huo wa leo .

1. youth Rostand
2. Juma Abdul
3. Haji Mwinyi
4. Shaibu Abdalah(Ninja)
5. Andrew Vicent
6. Pato Ngonyani
7. Thabani Kamsoko
8. Yohana Mkomola
9. Hamis Tambwe
10. Donald Ngoma
11. Ibrahim Ajibu.

  Kwa maana hiyo tunaweza kusema kuwa kikosi cha yanga kina wachezji /kinakikosi kamili  kingine nje cha majerhuhi . 

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.