DIAMOND: WIMBO WA SALOME HAUNA MATUSI ...
Mkali Wa bongo fleva anayetamba na kibao cha Mary me Diamond Platinum amedai kuwa wimbo wake uliosumbua kimataifa Wa Salome ambao amemshirikisha mwanamziki kutoka katika kundi analoliongoza la WCB RAY VAN hauna lugha ya matusi hata kidogo kama ambavyo watu wamekuwa wakidai Bali amesema kuwa wimbo huo umetumia maneno ya kimahaba zaidi kitu ambacho kinapelekea watu kuuelewa vibaya .
Comments