PATA HABARI ZA MICHEZO HAPA.
TANGAZA BIASHARA YAKO NASI.
Calls/Whatsap : +255622619423
Contact us Whatsap
: 0622619423
LEMA AACHIWA KWA DHAMANA
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
-
Mbunge aliyekuwa ameshikiliwa kwa miezi kadhaa Wa Arusha mjini Godbles Lema ameachiwa huru na mahakama Kwa dhamana ya Tsh. Mil 3 . Lema alitakiwa kuwa na wadhamini wawili
Wapendwa wasomaji wa misangletz.blogspot.com. yanakuletea yale mafunzo ya kutengeneza sabuni za maji na mche Online kwa bei nafuu kabisa kwni watu wamekuwa wklakiulizia mara kwa mara na kutokana na maandalizi kwa ajili ya somo tulikuwa tumeomba muda wa kutosha . Mafunzo yatakayotolewa ni kama ifuatavyo: 1. Mafunzo ya sabuni ya maji Tutajifunza kutengeneza sabuni za maji na kupata ujuzi wakutosha kabisa ili uweze kutengeneza sabuni na kujiongezea kipato chako, familia yako na taifa kwa ujumla 2. Sabuni ya mche (Magadi) Tutafundisha pia kutengeneza sabuni za mche km unavyoina hyo hapo chini . Utafahamu namna ya kutengeneza sabuni hizi bila hata kusumbuka na uapaa ujuzi wakuosha na kuacha kuhangaika kununua sabuni . 3. Shampoo za kuoshea nywele. Mafunzo mengine utayopayiwa ni namna ya kutengeneza Shampoo au sabuni za kuoshea nywele . Pia kwa...
Utamaduni wa timu mbalimbali duniani kubadili jezi zake kila baada ya msimu wa ligi kumalizika umekuwa ukifanyika mara kWA Mara na jezi hizi wamekuwa wakizitumia katika ligi ya nchi husika na mashindano mengine hata ya kimataifa . Kwa taarifa zilizosambaa katika mitandao ya kijamii nikuwa zinaonyesha jezi ambazo zitakuwa zinatumiwa na klabu ya Yanga msimu wa 2017/2018 . Jezi hizo bado hazijathibitishwa na kutangazwa rasmi na uongozi wa yanga lakini zinasemekana kuwa ndizo zitakazotumika msimu wa 2017/2018. Ufafanuzi: Jezi za kijani : Hizi zitakuwa ni jezi za klabu ya yanga ambazo zitatumiwa katika na timu inapokuwa ikicheza michezo yake katika uwanja wao wa nyumbani . Jezi ya njano: Hii watavaa pindi wanapokuwa wancheza nje ya uwanja wak wa nyumbani . Jezi nyeusi: Hii itakuwa jezi yao ya tatu katika msimu ujao .
Kama ulikuwa hujawahi kusikiliza vizuri mashairi ya wimbo wa Nay wa mitego uliopelekea kukamatwa basi yasome hapa :👇👇👇👇👇👇👇👇👇 Free nation, free nation .. Unachokipanda leo ndicho utakachokivuna kesho Imeandikwa mwanaume kula kwa jasho ,najiuliza hivi nani kaiona kesho chapa mwendo na ukilala hauna chako......... Hivi uhuru wa kongea kwenye nchi bado upo , Usije kuongea vitu kesho ukajikuta upo Central. Kunaviongozi wavuta bangi wapo Mana wanamaamzi ya Kise.. WAPO. Waliomumis Jakaya wapo.......!!!!! Na waliochoka kuisoma namba WAPO....!!!! Kunawasanii mateja WAPO..........!!!!. na Waliopoteza marinda WAPO........!!!!! Kuna redio na Tv naona vishapoteza CV, Hakuna uhuru wa habari wala taarifa ya habari Wanapindishapindisha kuiogopa serikali.. Siamini nchi inaendeshwa kwa kiki .....!!!. Siasa inafunika mziki .... Viongozi wanashindana kwa kiki....... Wanagombea front page wauze kwenye magazeti... Nasikia kunavion...
Comments