NGASA : SIMBA HAWATATUFUNGA LAZIMA NNIWAFUNGE TU

   Mshambuliaji hatari aliyewahi kukipiga katika klabu za Yanga, Azam,Kagera na Free State ya Afrika kusini Mrisho Khalfan Ngassa amesema kuwa mchezo waleo hawatakubali kufungwa na wekundu Wa msimbazi ambao mwaka huu wamekuwa na hamu kubwa sn ya kutaka ubingwa baada ya kuukosa Kwa miaka takribani kama minne sasa .
    Mshambuliaji huyo Wa Mbeya City amedai kuwa lazima wawafunge kwani hayupo tayari kuona  timu hiyo ya msimbazi ikibeba ubingwa na kuahidi kuwafunga tu leo . Simba na Mbeya City zitashuka uwanjani leo katika uwanja Wa Taifa Simba akiwa mwenyeji saa 10:00 jioni .

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.