MBUNGE MABULA ANUSURIKA KIFO KATIKA AJALI YA GARI MOROGORO

  Mbunge Stanslaus Mabula anusurika kifo baada ya gari lake kugongana na Trekita lililokuwa nakatisha katikati ya barabara ,  akizungumza mbunge huyo amedai kuwa anahisi maumivu ya kifua na mwili wote lakini anaendelea vizuri .

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.