KOCHA WA TIMU YA TAIFA ATAJA KIKOSI NA KUACHA NAFASI NNE WAZI
Kocha mkuu wa timu ya Tanzania Taifa Star SALUMU MAYANGA ametaja kikosi cha timu ya taifa na kueleza kuwa ameacha nafasi nne wazi ikiwa anangoja majibu ya Zanzibari kutoka FIFA ambapo waliomba nawao watambulike km nchi inayojitegemea jatika kuiwasilisha nchi yao katika mashindano , kocha huyo amesema kuwa endapo Zanzinmbarhaitofanikiwa basi nafasi hizo atazijaza kwa wachezaji kutoka zanzibar ambao hajawaita.
Wachezaji walioitwa katika kikosi hicho ni kama ifuatavyo:
BENCHI LA UFUNDI:
Kocha mkuu: Salumu Mayanga
Kocha msaidizi: (nafasi bado iko wazi )
Kocha wa magolkipa:Patrick Mwangata
Msjmamizi wa itifaki : Dani Msangi
Daktari wa timu : Richard Yamba
Daktari wa viungo : Glibet Kigadya
Mtunza vifaa :Ally Ruvu
WACHEZAJI:
Golkipa 1- Deogratius Mnishi (Yanga)
2- Saidi Mohamed (Mtibwa)
3- Aishi Manula (Azam )
Walinzi:Shomali Kapombe(Azam)
Ramadhani Kessy(Yanga)
Vicent Andre(Yanga)
Gadiel Mikael(Azam)
Mohamed Hussein(Simba)
Salim Mbonde (Mtibwa)
Abdi Banda(Simba)
Erasto Nyoni(Azam)
Viungo wa kati :
Himid Mao(Azam)
SALUMU Abubakari(Azam)
Jonas Mkude (Simba)
Mzamiru Yasini(Simba)
Saidi Ndemla (Simba)
Shiza Kichuya(Simba)
SaimonMsuva(Yanga)
Faridi Mussa(Tenerife)
Hassani Kabunda(Mwadui)
Frank Domayo(Azm)
Washambuliaji:
Ibrahimu Ajibu .(Simba)
Thomas ulimwengu(Eskilstuna)
Mbwana Samata(Genk)
Mbaraka Yusufu (Kager)
Abdurahiman Mussa(shootin
Nafasi ya kocha msaidizi imeachwa wazi na tutawajuza itakapopatiwa mhusika wa kuziba nafasi hyo .
Kwa habari tembelea www.
Mmisanglehotnews.blogspot. com
Wachezaji walioitwa katika kikosi hicho ni kama ifuatavyo:
BENCHI LA UFUNDI:
Kocha mkuu: Salumu Mayanga
Kocha msaidizi: (nafasi bado iko wazi )
Kocha wa magolkipa:Patrick Mwangata
Msjmamizi wa itifaki : Dani Msangi
Daktari wa timu : Richard Yamba
Daktari wa viungo : Glibet Kigadya
Mtunza vifaa :Ally Ruvu
WACHEZAJI:
Golkipa 1- Deogratius Mnishi (Yanga)
2- Saidi Mohamed (Mtibwa)
3- Aishi Manula (Azam )
Walinzi:Shomali Kapombe(Azam)
Ramadhani Kessy(Yanga)
Vicent Andre(Yanga)
Gadiel Mikael(Azam)
Mohamed Hussein(Simba)
Salim Mbonde (Mtibwa)
Abdi Banda(Simba)
Erasto Nyoni(Azam)
Viungo wa kati :
Himid Mao(Azam)
SALUMU Abubakari(Azam)
Jonas Mkude (Simba)
Mzamiru Yasini(Simba)
Saidi Ndemla (Simba)
Shiza Kichuya(Simba)
SaimonMsuva(Yanga)
Faridi Mussa(Tenerife)
Hassani Kabunda(Mwadui)
Frank Domayo(Azm)
Washambuliaji:
Ibrahimu Ajibu .(Simba)
Thomas ulimwengu(Eskilstuna)
Mbwana Samata(Genk)
Mbaraka Yusufu (Kager)
Abdurahiman Mussa(shootin
Nafasi ya kocha msaidizi imeachwa wazi na tutawajuza itakapopatiwa mhusika wa kuziba nafasi hyo .
Kwa habari tembelea www.
Mmisanglehotnews.blogspot. com
Comments