PLUIJM KUJIUNGA NA SINGIDA UNITED.

   Kocha wa zamani wa YANGA Hans Van Da Pluijm inasemekana ameamua kujiunga na kikosi cha timu
Ya Singida United ambayo imepanda darja hadi ligi kuu
Ya VPL msimu ujao .
Tarifa zinadai kuwa kocha huyo amejiunga na kikosi
hicho baada ya mazungumzo kati yake  na mwenyekiti wa kamati ya usajili wa timu hiyo ambaye pia ni mbunge wa
wa Singida Mh.  Mwigulu Nchemba ambaye pia ni waziri wa mambo ya ndni ya nchi.

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.