ZINGATIA HAYA KABLA YA KULALA .

1. Usilale na kinyongo hata kama kuna mtu amekuudhi
2. Tarajia heri hata kama majaribu mengi yanakusonga 
3. To a msamaha kwa kila aliyekuudhi hata kama 
     hujaombwa msamaha.
4. Onyesha furaha hata kama moyo wako unasononeka. 
5. Wapende na kuwaombea adui zako uzima ili wapate 
     Ufanikiwapo. 
6. Tafaari kesho itakuwaje . 
   

              

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.