KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA ZANACO LEO.

    Wawakilishi wa michuano ya kimataifa kutoka Tanzania timu ya YANGA inatarajia kushuka uwanjani leo dhidi ya timu ya ZANACO na hiki hapa ndiyo kikosi kitakachoshuka uwanjani kuipeperusha bendera ya kikosi hicho. 

Watakaoanza:

1.  Deogratius Munishi
2.  Ramadhani Kessy
3.  Haji mwinyi
4.  KelvinYondani
5.  Vicent Bosoue 
6.  Justine Zulu
7.  Simon Msuva 
8.  Thabani Kamsoko 
9.  Obrey Chirwa
10. Haluna  Niyonzima 
11. Godfley Mwashua

Akiba:
Ally Mustafa Bartez
Juma abdul
Osca Joshua
Said Juma Makapu
Deusi Kaseke
Emanuel Martine

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.