TUNDULISU AINGIA KATIKA HISTORIA MPYA .

       Wajumbe wa chama cha wanasheria Tanganyika(TLS),  leo wamefanya uchaguzi wa kumchagua rais pamoja na wajumbe wa ngazi mbalimbali za uongozi wa chama chao.
Uchaguzi huo umefanyika mjini Arusha ambako wanachama wa chama hicho wamekutana kutekeleza mipango ya chama hicho,  matokeo nikama ifuatavyo:

RAIS(TLS):
Kula zilizopigwa 1682
1. Tundulisu 1411= 88%
2. Francis Stolla 64
3. Victoria Mandari 176
4. Godwin Mwapongo 64

MAKAMU WA RAIS (TLS):
    Kwa upande wa makamu wa rais mshindi ni Godwin Ngwilimi aliyekuwa mwanasheria wa TANESCO na kutimuliwa kwa kupinga escrow.

WAJUMBE :

1.  Jeremia Moteseba
2. Gida Lambaji
3. Hussein Mtembwa
4. Aisha Sinda
5. Steven Axweso
6. David Shilatu
7. Daniel Bushele

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.