UINGEREZA: WAZIRI MKUU AHUTUBIA TAIFA
Waziri mkuu wa uingereza amelihutubi Taifa na kusema kuwa aliyefanya shambulizi nchini uingereza na kuua watu wanne alikuwa raia wa uingereza ambaye alizaliwa uingerezana aliyewahi kufanyiwa upelelezi kwa tuhuma za upelelezi kuwa anajihusisha na uhalifu wa itikadi kali .
May amewataka wananchi wake waendelee na maisha yao ya kila siku bila hofu na kusisitiza kwamba magaidi hawataingia tena .
May amewataka wananchi wake waendelee na maisha yao ya kila siku bila hofu na kusisitiza kwamba magaidi hawataingia tena .
Comments