NAPE ATISHIWA BASTOLA NA POLISI Leo.
Wapuuzi nimekuja hapa wananitolea bastola eti rudi kwenye gari , nimepigana kuiweka CCM madarakani anakuja mpuuzi eti usishuke kwenye gari , mimi Nape sinakinyongo na uamuzi wa raisi wangu kama sikjmshawishi kunichagua hivyo hata kuniacha ni sawa.
Nimejitahidi kutimiza wajibu wangu , tusihangaike na Nape tuhangaike na Nchi ya Tanzania inapokwenda nimekuwa mzalendo na muungwana nimekuwa nikitimiza wajibu wangu.
Mimi ndiye nilisimama kuiinua CCM , nitasema kweli daima na fitina kwangu mwiko. Kinachotukutanisha siyo magwanda ya kijani bali ni imani nimefundishwa na mzee NNINAUYE kusema kweli na kusimamia ninachokiamini , mimi nilishawahi kufukuzwa CCM .
Usipopita kwenye matatizo kisiasa hujakomaa, ili mbegu iote sharti ioze, nimepanda mbegu ya kusimamia haki, tanzania niyetu nchi yetu, mwalimu , kawawa waliondoka nasi tutaondoka .
Lengo la kuja hapa ni kumshukuru rais kwa alichokifanya , namshhkuru kwa kuniamini kwa mwaka mmoja nampongeza MWAKYEMBE naye ni mwanahabari. Nimefurahi kufanya kazi nanyie muungeni mkono pia na mwakyembe pia na rais Magufuli.
Tidumishe amani na upendo wa nchi yetu, NAPE nimdogo kuliko nchi wakati aliyeniteua ameniondoa mimi nitaendelea kuwatumikia .
Polisi walizuia gari la Nape lisiondoke alishhka kwenye gari na kumsikiliza kamanda wa Polisi kinondoni na kuwaomba waandishi wa habari waondoke kwa kudai kuwa hakuwa na chakuwaambia tena .

Comments