KINANA AJA NA HILI BAADA YA NAPE KUFUKUZWA UWAZIRI.

     Karibu mkuu wa chama cha Mapinduzi (CCM) Abdrlahman Kinana leo anatarajia kuafanya mazungumzo na waandishi wa habari katika ofisi za CCM lumumba Dae es Salaam ,  hii imekuja siku moja baada ya rais Magufuli kumtimua uwaziri mh.  NAPE aliyekuwa waziri wa habari, sanaa, michezo na utamaduni .
Wachunguzi wa mambo wameanza kuhisi kunakitu kikubwa katibu hyo wa CCM ataongea hii ni baada ya analyse ukaribu kati ya NAPE na KINANA ukaribu wao ulikuwa ni mkubwa hasa katika serikali ya awamu jliyopita ya JAKAYA MRISHO KIKWETE . 
Tusubiri k

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.