WALIMU WATATU WA S/M WAFANYA MAPENZI NA MWANAFUNZI WAO .

      Mwanafunzi wa shule ya msingi Ruwenzera amelalamika kulazimishwa kufanya mapenzi na walimu wake watatu wa shule anayosoma akidai kuahidiwa kupewa zawadi nono na fedha na walimu hao .  Akizungumzia sakata hilo mwenyekiti wa kamati ya shule hiyo Masele Omary alisema marchi 7 uongozi ulikutana na kufikia uamzi wa kumuomba mkurugenzi wa halmashauri hiyo awaondoe walimu hao baada ya kujiridhisha na maelezo ya mwanafunzi huyo .  kwa mjibu wa MWANAFUNZI huo anayesoma darasa la saba, alifanya ngono na walimu hao baada ya kumshawishi kumpatia zawadi na sh.  10000 hata hvyo baada ya kufanya ngono hawakumpatia pesa wala zawadi mwanafunzi huyo wala kumununulia nguo za ndani kama walivyomwahidi .
Alidai mwalimu Gerad Paul alidai kumununulia nguo za ndani , huku Aosner Yohana na mwingine aliyehifadhiwa jina walidai kumpatia hela sh. 10000 kila mmoja .
Wakizungumza kwa pamona Gerad Paul na Aosner Yohana walikana habari hizo kuwa wamezushiwa na hazina ukweli wowote na wamezushiwa kulingana na kuwa wamekuwa wakihoji sn kuhusu maumizi ya fedha za shule hiyo na ukarabati wa miundkmbinu ya shule kwn zimekuwa haziwekwi wazi .

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.