YANGA YAKIRI KUWAOGOPA AZAM FC

        Klabu ya yanga imekili kuwa mchezo wake wa jumamosi utakuwa mgumu dhidi ya Azam FC lakini wamesema lazima washinde ili kutetea ubingwa wao . Katibu mkuu wa klabu hiyo Boniface Mkwasa amesema wanategeme upinzni mkubwa kutoka kwa Azam ambao wamejipanga .
  -Tunafahamu iwezo wa azam wamejipanga lkn lazima tupate ushindi .   Alisema Mkwasa .
   
         Kutetea ubingwa. 
   Mkwasa amesema kuwa ligi ya mwaka huu ni ngumu sana hivyo amesema wanahitaji ushindi katika mechi zao zote zilizobaki ili kutetea taji hilo.

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.