FARID malik MUSSA ANAKUTANA NA CHANGAMOTO HIZI ULAYA .
Winga mtanzania anayekipiga ulaya hispania katika timu ya Tenerife amesema changamoto kubwa anayokutana nayo tangu atue klabuni hapo ni lugha inayotumiwa na Taifa hilo.
Akizunghmza na Yahaya mkazuzu muda mfupi kabla alipokuwa hajaondoa kuelekea hispania baada ya kumaliza majukumu yake ya kitaifa huku .
"Changamoto kubwa ninayokutana nayo tangu nifike hukoni lugha inayotumiwa na Taifa hilo , sielewi kitu japo wananifundisha ili tuweze kuendana na uelewana na wachezaji wenzangu " alisema Faridi
Farid ambaye hajaanza kucheza kwenye kikosi cha wakubwa , baada ya miezi sita ataanza kucheza kwenye kikosi cha wakubwa ila kwa sasa anaishia kifanya nao mazoezi tu.
"Naendelea vizuri , mambo yanaenda vizuri na nasubiria miezi sita ili niiunge na kikosi cha wakubwa . Ninafanya mazoezi n kikosi cha wakubwa ila sijaanza kucheza mechi za mashindano .
Licha ya kucheza katika mechi mbili za Taifa Stars ilipocheza na Botswana na Burundi Farid amesema hali ya jhewa imemsumbua kidogo lakini pia hakifanya mazoezi na wachezaji wa taifa stars kwa sababu alichelewa kufika huenda ndiyo sababu ya kushindwa kuonyesha kiwango kizuri.
Changamoto niliyokutana nayo ni hali ya hewa , nilikuwa sijafanya mazoezi na timu ya taifa halafu nimecheza mechi za kimataifa kwahiyo ilikuwa ngumu sana .

Imeandaliwa na :
Misango Samweli
Comments