MSANII MPYA WA NYIMBO ZA INJILI ANATAFUTA MDHAMINI WA KUTOA VIDEO YA ALBAMU YAKE .

    Msanii chipukizi wa yimbo za injili Flora Chilumba kutoka mkoani Lindi wilayani Nachingwea amekamilisha album yake yenye nyimbo 8 za injili na hivi karibuni itakuwa hewani .

 Aidha msanii huyo akizungumza na mMmisangleHotNews.com amesema kuwa anatafuta udhamini ili aweze kuachia video za album yake hiyo kwani mpaka sasa ameweza kurekodi audio kwa gharama zake mwenyewe na nyimbo hizo zimefanyika kwa Producer maarufu nchini anayejulkkana kwa jina la ENOCK NYONGOTO (Producer Eck ).

  Msanii huyo pia ameeleza kuwa kwa atakayekuwa tayari kwaajili ya kushirikiana naye anaweza kuwasiliana naye kupitia simu nambali 0657962027/0627783625.

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.