DIAMOND PLUTNUM AWEKA WAZI UFREEMASON WAKE .
Msanii maarufu wa bongo fleva nchini Diamond ameweka wazi ufreemason wake baada ya kutoka kwa video yake ya Eneke ambayo ameonekana akiwa amevaa cheni ambazo zinamsalaba unaoonekana kuwa ni ishara tosha kuwa msanii huyo ni mwana chama wa freemason .
Wataalamu wa mambo hayo wanadai kuwa msalaba wa aina aliyovaa Diamond ni miongoni mwa alama zinazotajea kuwa ni za Freemason.
Comments