KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA DHIDI YA SINGIDA UNITED



    Kikosi cha yanga kitakachoanza katika mchezo wa leo dhidi ya Singida United kimeangazwa. Kocha Lwandamina ametangaza kikosi cha wachezajj 18 watakao anza leo pale Singida katika uwanja wa Namfua ikiwa ni mchezo ambao utachangizwa na kitu cha pekee kabisa kwani Singida United watakuwa wanazindua uwanja wao mpya kwa mara ya kwanza .

 Lwandamina katika kikosi alichokitangaza amefanya mabadiliko ya wachezaji wawili kutoka katika kikosi kilichoanza dhidi ya simba SC mwishoni mwa wiki iliyopita.



    WHassani Kessy ameanza katika mchezo wa leo kuchukua nafasi ya Juma Abdul anayetumikia adhabu ya kadi 3 za njano alizonazo huku Pato Ngonyani akianza badala ya Raphael Loth .

    Kifuatacho ndyo kikosi cha Yanga kitakachochuana na Singida United:
1. Youth Rostand
2. Hassani Kessy
3. Gadiel Mbaga
4. Andrew Vicent
5. Kelvine Yondani
6. Pato Ngonyani
7. Pius Buswita
8. Papy Tshishimbi
9. Geofrey Mwashuya
10. Obrey Chirwa
11. Ibrahim Ajibu

Wachezaji wa akjba:

GK- Ramadhani Kabwili
Mwinyi haji
Nadir Haroub
Raphael Loth
Emanuel Martine
Yusuph mhilu na Matheo Anthony

Mchezo huu utaanza mnamo saa 10:00 jioni

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.