MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .
Wapendwa wasomaji wa misangletz.blogspot.com. yanakuletea yale mafunzo ya kutengeneza sabuni za maji na mche Online kwa bei nafuu kabisa kwni watu wamekuwa wklakiulizia mara kwa mara na kutokana na maandalizi kwa ajili ya somo tulikuwa tumeomba muda wa kutosha .
Mafunzo yatakayotolewa ni kama ifuatavyo:
1. Mafunzo ya sabuni ya maji
Tutajifunza kutengeneza sabuni za maji na kupata ujuzi wakutosha kabisa ili uweze kutengeneza sabuni na kujiongezea kipato chako, familia yako na taifa kwa ujumla
2. Sabuni ya mche (Magadi)
Tutafundisha pia kutengeneza sabuni za mche km unavyoina hyo hapo chini . Utafahamu namna ya kutengeneza sabuni hizi bila hata kusumbuka na uapaa ujuzi wakuosha na kuacha kuhangaika kununua sabuni .
3. Shampoo za kuoshea nywele.
Mafunzo mengine utayopayiwa ni namna ya kutengeneza Shampoo au sabuni za kuoshea nywele .
Pia kwa wale ambao hawakupata mafunzo ya kutengeneza Zulia bado watu wanaendelea kupata mafunzo haya ya kutengeneza zulia kwa bei nafuu kabisa bila kusahau mafunzo ya kutengeneza maua na mapambo mbalimbali .
Unachotakiwa kufanya ili upate mafunzo haya wasiliana nami kwa namba zifuatazo hapo chini ili uunganishwe kwenye group la whatsap la darasa la Sabuni, Maua, Zulia na Shampoo.
0625954293/0659116814

Comments