KIKOSI CHA YANGA LEO HUKU KIKIWAKOSA TSHISHIMBI,KELVIN YONDANI,KAMSOKO,NGOMA NA TAMBWE.

HABARI ZA MICHEZO

   

     Yanga inashuka dimbani kukipiga Leo na mbeya City .Yanga imeweka kikosi ambacho kitashuka kutafuta point 3 muhimu katika mchezo Wa leo ili kujiwekea mazingira mazuri ya kuendelea kutetea kombe lao ambalo wamekuwa nalo Kwa misimu mitatu mfululizo mpaka sasa.
 
     Kikosi kitakachoanza Leo dhidi ya mbeya City no hiki hapa :

1. Youth Roustand (GK)
2. Juma Abdul
3. Gadiel Michael
4. Vincent Andrew
5. Nadir Haroub (Kanavaro)
6. Pato Ngonyani
7. Pius Buswita
8. Raphael Louth
9. Obrey Chilwa
10. Ibrahim Ajib
11. Emanuel Martine

  Wachezji Wa akiba ambao wataingia wakitokea nje ili kwenda kubadili mazingira ya mchezo ni:
    Beno Kakolanya (GK)
    Abdalaha Shaibu
    Haji Mwinyi
    Yusuph Mhilu
    Makka Edward
    Juma Mahadhi
    Geofley Mwashuya

Aidha Kocha mkuu Wa kikosi hiki George Lwandamina anawakosa wachezaji wake Kelvine Yondan,Papy Tshishimbi Kwa matatizo kidogo huku Tambwe ,Ngoma na Kamsoko wakiwa bado hawajarejea kikosini kutokana na matatizo ya majeraha waliyokuwa nayo.

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.