MATOKEO YA VPL LEO NA MSIMAMO JINSI ULIVYO .

HABARI ZA MICHEZO

     
       Baada ya kukamilika Kwa mzunguko wa 10 Wa ligi kuu ya VPL matokeo yake katika michezo mitatu iliyopigwa leo nikama ifuatavyo:

1. Mbeya City  0 - 5 Yanga.
       (Chirwa 3, E  Martine 2)                               2.   Njombe mji 0 - 1 Azam FC
                 (Agrey Morris )
 3.   Mtibwa Sugar 0 - 1 Kagera
          (Edward Christopher)

Baada ya michezo hiyo msimamo Wa ligi kuu ya VPL umebadilika kama unavyoonekana hapa chini.




  

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.