KUELEKEA MCHEZO WA SIMBA NA AZAM MWAMZI ABADILISHWA .

HABARI ZA MICHEZO

   Kesho siku ya jumatano ligi kuu ya VPL kuendelea kwa michezo kadhaa huku macho na masikio ya wapenzi wa soka na ligi hiyo yakiwa katika mchezo mkali a marudiano kati ya Simba na Azam katika uwanja wa Taifa .
   Timu hizo zilikutana katika mzunguko wa kwanza na kutoka sare ya bila kufungana hivyo kesho utakuwa ni mchezo mkali wa kukata na shoka kwani kila timu inahitaji ushindi ili iweze kujijengea mazingira mazuri y kutafuta ubingwa .

    Simba inaongoza ligi kuu ikiwa na point 38 huku Azm inashika nafasi ya pili ikiwa a alama 33 .


  Katika hali isyokuwa ya kawaida kuelekea mchez huo mwamzi  aliyekuwa amepangwa katika mchezo huo ni Jonesia Lukya mwamzi kutoga kagera na mwenye beji ya FIFA lakini kwa taarifa za badae inasemekana mwamzi huyo amebadilishwa na kup na kupewa mchezo huo mwamzi anayejulikana kwa jina la Emanuel Mwandengwa . Hivyo mwanamama Jonesia Lukya hatochezesga mchezo huo kilieleza chanzo.

   Hata hivy sababu za kubadilishwa kwa mwamzi wa mchezo huo bado hazijaelewa mpaka sasa .

Kw matangazo nicheki:
 
       0625954293/0659116814

  

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.