UEFA : MATOKEO YA REAL Madrid NA PSG , LIVERPOOL NA FC portal.

HABARI ZA MICHEZO



  Michuano ya klabu bingwa barani Ulaya imeendelea leo usiku wa michezo miwili mikali , huku macho ya mashabiki wengi yakiwa ni kwa mchezo kati ya Rael Madrid na PSG .

   MATOKEO YA MICHEZO HIYO :

Fc Portal 0 - 5 Liverpool
R. Madrid 3  -  1 Psg 

  Katika mchezo kati ya Fc Portal dhidi ya Liverpool mchezji Sadio Mane ameibuka na mpira wake hii ni naada ya kupachika magoli matatu katika mchezo wa leo (Hat - Trick ). Katika mchezo wa timu hizi wa marudiano itawalazimu Fc Potal kushinda goli 6 ili waweze kuvuka hatua ya robo fainal .

  Wakati huo Madrid wamefanikiwa kuupata ushindi huo wa 3 -1 hivyo PSG itawalazimu kupata ushindi nyjmbani kwao ili waweze kusonga mbele . 

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.