JACOB ZUMA AJIUZURU URAISI AFRIKA YA KUSINI

HABARI ZA MICHEZO


   Raisi wa Afrika kusini Jacob Zuma ametangaza kujiuzulu nafasi ya uraisi wa nchi hiyo usiku huu baada ya shinikizo kubwa kutoka katika chama chake cha ANC kilichokuwa kinamtaka kuachia nafsi hiyo.



    Kiongozi wa ANC na makamu wa rais Cyril Ramaphosa anatarajiwa kuchukua nafasi hiyo ya urais wa nchi hiyo yenye uchumi mkubwa Afrika .

     Bunge la nchi hiyo lilipanga kupiga kura ya kutokuwa na imani na raisi Jacob Zuma siku ya alhamis hivyo bunge hilo halitokuwa na haja ya kupiga kura hiyo. 

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.