MASHAIRI YA WIMBO WA NAY WA MITEGO ULIOMPELEKA LUMANDE .

       Kama ulikuwa hujawahi kusikiliza vizuri mashairi ya wimbo wa Nay wa mitego uliopelekea kukamatwa basi yasome hapa :👇👇👇👇👇👇👇👇👇

Free nation,  free nation ..
Unachokipanda leo ndicho utakachokivuna kesho
Imeandikwa mwanaume kula kwa jasho ,najiuliza hivi nani kaiona kesho  chapa mwendo na ukilala hauna chako.........

Hivi uhuru wa kongea kwenye nchi bado upo ,
Usije kuongea vitu kesho ukajikuta upo Central.

Kunaviongozi wavuta bangi wapo
Mana wanamaamzi ya Kise.. WAPO.
Waliomumis Jakaya wapo.......!!!!!
Na waliochoka kuisoma namba WAPO....!!!!
Kunawasanii mateja WAPO..........!!!!.  na
Waliopoteza marinda WAPO........!!!!!
Kuna redio na Tv naona vishapoteza CV,

Hakuna uhuru wa habari wala taarifa ya habari
Wanapindishapindisha kuiogopa serikali..

Siamini nchi inaendeshwa kwa kiki .....!!!.
Siasa inafunika mziki ....
Viongozi wanashindana kwa kiki.......
Wanagombea front page wauze kwenye magazeti...

Nasikia kunaviongozi wamefoji vyeti WAPO.....!!!
Kuna mademu wanasagana WAPO.....!!!.!!!
Kuna vidume wanalelewa WAPO.....!!!!
Sijasikia mnasema wWAPO.....!!!!
Kuna mstaa wanajiuza WAPO .....!!!!!
Wapenda habari za udaku kuliko kazi WAPO....!!!!
Eti kuna wasanii wanarogana WAPO....!!!!

Sijasikia mnasema ....!!!!  Kiongozi mwenye busara
Anapokea mawazo,  anapokea ushauri haweki mbele kiburi

Samahani mheshimiwa hivi unamjua bashite ?
Hili ni jipu jipya kutoka kolomije
Limeshaiva na usaha limeshatunga
Nakukabidhi sindano ya kulidunga doctor haogopi
Ukubwa wa kidonda wewe si dokta wa majipu tumbua hakuna kuvunga ......!!!!!!

Kuvamia ofisi za watu kumbe nayo ni kazi
Hakuna noma wanangu tupigeni kazi ..!!!
Bodaboda kazi.., bajaji kazi.....,eti vipi kukaba nayo ni kazi..??

Nasikia kunaviongozi wamefoji vyeti WAPO.....!!!!!
kuna mademu wanasagana WAPO......!!!!!
Kuna vidume vinalelewa WAPO.....!!!!!


Sijasikia mnasema .........????????

Refa ni wao piga manati vita ya masai na mang'ati ..
Pesa na ngono na super shaft
Pumzi imekata navuta shati ...........

Siamini nchi inaendeshw kwa kiki ....!!!!!
Siasa imefunika mziki ..?!!!
Viongozi wanashindana kwa kiki... Wanagombea front page wauze kwenye magazeti
Kuna viongozi wavuta bangi mana wanamaamzi ya kisee.... Wapo ...
Kuna vidume wanalelewa WAPO....!!!!!!

Walio mmis Jakaya WAPO....!!!!
na waliochoka kuisoma namba wWAPO.....!!!!!
Nasikia kunaviongozi wamefoji vyeti WAPO....!!!!
Kuna vidume vinalelewa WAPO....!!!!!
kuna mademu wanasagana WAPO...!!!!

Sijasikia mnasema ......!!!!!!

Aaaaaa wewe mtu gani sasa hutaki kusikia
Hutaki kukosolewa umerogwa wewe unajiona ndugu yake na yesu eeeeeee......!!!!!


Oya wanangu eee .....!!!!  Naona raoundi hii mtanyoka kicha kapewa rungu ..

Much respect Emanueli elribark


   Nadhani umeelewa msomaji wetu
    Usiache kushare na kutoa maoni yako kwa ushari zaidi

        Mmisanglehotnews.blogspot.com


                    0625954293. Whatsap .

           
                       Imeandaliwa na Misangle .

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.