YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.






Utamaduni wa timu mbalimbali duniani kubadili jezi zake kila baada ya msimu wa ligi kumalizika umekuwa ukifanyika mara kWA Mara na jezi hizi wamekuwa wakizitumia katika ligi ya nchi husika na mashindano mengine hata ya kimataifa .

Kwa taarifa zilizosambaa katika mitandao ya kijamii nikuwa zinaonyesha jezi ambazo zitakuwa zinatumiwa na klabu ya Yanga msimu wa 2017/2018 . Jezi hizo bado hazijathibitishwa na kutangazwa  rasmi na uongozi wa yanga lakini zinasemekana kuwa ndizo zitakazotumika msimu wa 2017/2018.

Ufafanuzi:

Jezi za kijani :
Hizi zitakuwa ni jezi za klabu ya yanga ambazo zitatumiwa katika na timu inapokuwa ikicheza michezo yake katika uwanja wao wa nyumbani .

Jezi ya njano:
 Hii watavaa pindi wanapokuwa wancheza nje ya uwanja wak wa nyumbani .


Jezi nyeusi:
   Hii itakuwa jezi yao ya tatu katika msimu ujao .

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA