BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

 




      Mastaa wawili wanaounda group la mziki la scopion Girls Baby Madaha na Isabela waliwaacha watu midomo wazi baada ya kujiachia kimahaba kama mtu na mpenziwe . Madaha na Isabela walilishana keki kwa style ya njiwa'kugusianisha midomo ' ikiwa nikwenye bethidei ya Isabela iliyofanyika katika hotel ya Belinda iliyopo mbezi beach jijini Dar.

Akizungumzia isue hiyo mmoja wa wahudhuriaji ambaye hakutaka jina lake litajwe alisema kuwa tukio hilo ni lakushangaza kwanilinaashiria kuna kingine nyjma ya pazia kati ya wasanii hao kinaendelea .

"Kiukweli Isabela na Madaha wamenishangaza sana,  kulishana gani keki huko kama mtu na mpenziwe inaashiria kuna kjngine nyuma ya pazia kinaendelea, inawezekana wenzetu ni wapenzj wa jinsia moja (wasaganaji). Maana siyo kwa ukaribu huo tena hadharani kweli dunia imevaa sketi " alisema mmoja wa wahudhuriaji .

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.