ZIARA YA RAIS MAGUFULI KILWA
Raisi magufuli amwambia kigogo kukamilisha ujenzi Wa Barabara kutoka Nankurukuru mpaka Hospitalini mwa kijiji hicho ukamilike ndani ya mda mchache tena Kwa kiwango cha Lami . Ameyatoa maagizo hayo akiwa ziarani kilwa mkoani Lindi hii Leo. Rais pia amesisitiza kuwa kazi ya serikali siyo kutoa chakula Kwa wananchi balibali kazi ya serikali nikutoa huduma za umeme , maji , matibabu ,elimu na mambo mengine ya msingi .
Pia amewataka wananchi kuhakikisha wanalima mazao ya muda mfupi km ufuta , ulezi , mihogo nk
Pia ameagiza wananchi waliovamia eneo lililotengwa Kwa ajili ya kituo cha mabasi ( stand ) Nangurukuru kuhakikisha wanaondolewa eneo hilo kuanzia kesho .

Comments