MAMA YAKE DIAMOND AMJIA JUU ZARI
Mama mzazi Wa msanii Diamond Platinum ambaye ni baba Wa watoto wawili amemjia juu mwinga wake Mke Wa diamond ZARI ZE BOSS kutokana na maneno yanayoendela katika mitandao ya kijamii kuwa mtoto Wa pili Wa msanii huyo ni mtoto Wa mtalaka Wa Zari ambaye walishaachana kitambo IVAN
Comments