LUIZ ENRIQUE KUIACHA BARCELONA .

        Mchezaji Wa zamani Wa Barcelona ambaye Kwa sasa ni kocha Wa timu hiyo amesema anampango Wa kuiacha timu hiyo ifikapo mwishoni mwa msimu juu . Amedai kuiacha timu hiyo kwani anahitaji kupumzika na ukufunzi Wa soka . Mbali na kuiacha pia msimu juu umekuwa siyo mzuri sn Kwa kocha huyo tangu msimu ulipoanza . ukiachana na ligi kuu kuwaendea vibaya lakini pia hatahata katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA) kikosi hicho kipo katika hali mbaya baada ya kupigwa 4-0 na PSG huko ufaransa na kupoteza matumaini ya kusonga mbele .
Barcelona watarudiana na PSG huko Camp Neou kwao lakini ili wasonge mbele miamba hao wanatakiwa kushinda goli zaidi ya 4 kitu ambacho hata mashabiki wao wamepoteza matumaini .

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.