HAMO ROPA APATA UDHAMINI MNONO .
Mwanamziki wa bongo freva , anatarajia kuwa balozi wa kinywaji kipya kiitwacho swala . Hamoropa amezungumza kuwa yupo kwenye mazungumzo na kampuni ya kinywaji kiitwacho swala . Mwanamziki huyo anayetamba na wimbo wake unaokwenda kwa jina la "Kiboko ya Mabishoo"amesema kuwa dili hilo likifanikiwa atajisikia vizuri sana kutokana na ubalozi huo .
Hamoropa amejizolea umaarufu kutokana na tabia yake ya kupenda kiki kwenye mitandao ya kijamii. Hivi juzi altrend kwenye mitandao kutokana na kutimua mbio alivyoona askari akimtolea bastora aliyekuwa waziri wa habari, sanaa, michezo na utamaduni Mh. Nape Nnawiye .

Comments