FAHAMU SABABU ZA MSANII NAY WA MITEGO KUKAMATWA NA POLICE .

     Msanii wa miondoko ya HIP HOP nchini maarufu kama Nay wa mitego (true boy) amekamatwa na police mjini mororgoro alipokuwa kikazi zake . Kamanda Urlich Matei amethibitisha kukamatwa kwa msanii huyo jana usiku akiwa hotelini mjini hapo .
Kamanda huyo amethibitiswa kukamatwa kwa msanii huyo kuwa kunatokana na kutoa wimbo mpya unaofahamika kama wapo ambao unaikashifu serikali iliyopo madarakani . Pia kamanda amesema shauri la kesi ya msnii huyo lipo jijini Dar es Salaam hivyo atasafirishwa na kupelekwa jijini Dar es Salaam kwa mkuu wa upelelezi.

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.