KIONGOZI WA FREEMASMON TANZANIA AFARIKI DUNIA.
Aliyekuwa mfanyabiashara maarufu na kiongkzi waj jumuiya ya freemason Afrika Mashariki Jayantilal Keshavij "Andy" CHANDE , amefariki dunia leo huko Nairobi Kenya.
Chande alizaliwa tarhe 7 may 1928 huko Mombasa kenya na wakati wa utoto wake aliishi Bukene mkoani Tabora ambako ndio alipopat elimu yke ya msingi .
Elimu ya sekondari aliipata katika shule ya St. Peter's School iliyopo Panchgan wilaya ya Satara Jimbo la Maharashtra nchini India. Baada ya kufanya vizuri katika mitihani yake ndipo alipopata jina la Andy . Ambalo ndilo alikm7wa akilitumia mpaka mauti yanampata .
Baada ya kumaliza elimu yake alirudi nchini Tanzania ambapo alikuwa akjmsaidia baba yake katika biashara .
Mnamo mwaka 1967 ambapo azimio la Arusha lilippittisha sera ya utaifishaji, mali mali nyingi zilitaifishwa na kuwa za serikali .
Ujuzi aliokuwa nao Andy ulimfanya mwl. Nyerere amteue kuwa meneja mkuu wa shirika la uhifadhi wa chakula na nafaka (National Milling Cooperation).
Mpaka kufikia mwaka 2015 alikuwa na utahjiri unaofikia dola za kimarekani mil. 892 Sawa na fedha za kitanzania trip. 1.
Comments