STEVEN KANUMBA ANAZIDI KUKUMBUKWA kWA MOVE ZAKE MPAKA LEO HII.
Leo ni April 7 ambapo ni siku ya mapumziko kufuatia kifo cha rais wa kwanza wa Zanzibar Karume , lakini siku hii pia katika tasnia ya bongo move inakumbukwa kwa kumpoteza msanii mkubwa sana Steven Charles Kanumba .
R I P S. C. KANUMBA
Msanii Kanumba
Alizaliwa Jan, 8 mwaka 1984 na kufariki April 7, 2012 inaelezwa na kusadikika kuwa aliuawa baada ya kukiuka mashariki ya freemason lakini habari za ukweli ni kuwa alidondoka baada ya kusukumwa na mpenzi wake Elzabeth Mikael (Lulu)R I P S. C. KANUMBA
Comments