SIMBA KUKATA RUFAA MECHI YA KAGERA BAADA YA KUPIGWA 2-1 SABABU HII HAPA .
Mabingwa wa kihistoria wamewasilisha barua ya rufaa kwa TFF kudai point za mchezo wa Kagera uliochezwa jumapilj iliyopita kaitaba na kupoteza kwa kufungwa na Kagera 2-1 .
Katika barua yasimba, imedai kuwa Kagera Sugar ilimtumia Mohamed Fakhi mwenye kadi tatu za njano ambazo ni kukiuka kanuni na taratibu za ligi . Kamati ya saa 72 leo itakaa kupitia rufaa mbalimbali zilizowasilishwa ikiwemo ya simba kwa Kagera Sugar.
Wakati hayo yakifukuta uongozi wa Kagera Sugar umeibuka na kukana madai hayo kuwa siyo ya kweli kocha wa Kagera Sugar Meck Mexime amesema.
"Mimi niko makini sana na masuala ya kazi za wachezaji wangu , kila mchezaji wangu anapoonyeshwa kadi huwa naandika na pia namkumbusha meneja wangu kuandika kadi . Simba kama wameshindwa kutafuta point uwanjani wasitafute sababu ya kupata point Mezani" alisema

Comments