Mastaa wawili wanaounda group la mziki la scopion Girls Baby Madaha na Isabela waliwaacha watu midomo wazi baada ya kujiachia kimahaba kama mtu na mpenziwe . Madaha na Isabela walilishana keki kwa style ya njiwa'kugusianisha midomo ' ikiwa nikwenye bethidei ya Isabela iliyofanyika katika hotel ya Belinda iliyopo mbezi beach jijini Dar. Akizungumzia isue hiyo mmoja wa wahudhuriaji ambaye hakutaka jina lake litajwe alisema kuwa tukio hilo ni lakushangaza kwanilinaashiria kuna kingine nyjma ya pazia kati ya wasanii hao kinaendelea . "Kiukweli Isabela na Madaha wamenishangaza sana, kulishana gani keki huko kama mtu na mpenziwe inaashiria kuna kjngine nyuma ya pazia kinaendelea, inawezekana wenzetu ni wapenzj wa jinsia moja (wasaganaji). Maana siyo kwa ukaribu huo tena hadharani kweli dunia imevaa sketi " alisema mmoja wa wahudhuriaji .
Utamaduni wa timu mbalimbali duniani kubadili jezi zake kila baada ya msimu wa ligi kumalizika umekuwa ukifanyika mara kWA Mara na jezi hizi wamekuwa wakizitumia katika ligi ya nchi husika na mashindano mengine hata ya kimataifa . Kwa taarifa zilizosambaa katika mitandao ya kijamii nikuwa zinaonyesha jezi ambazo zitakuwa zinatumiwa na klabu ya Yanga msimu wa 2017/2018 . Jezi hizo bado hazijathibitishwa na kutangazwa rasmi na uongozi wa yanga lakini zinasemekana kuwa ndizo zitakazotumika msimu wa 2017/2018. Ufafanuzi: Jezi za kijani : Hizi zitakuwa ni jezi za klabu ya yanga ambazo zitatumiwa katika na timu inapokuwa ikicheza michezo yake katika uwanja wao wa nyumbani . Jezi ya njano: Hii watavaa pindi wanapokuwa wancheza nje ya uwanja wak wa nyumbani . Jezi nyeusi: Hii itakuwa jezi yao ya tatu katika msimu ujao .
Klabu ya Dar Young Africans (Yanga) leo imepoteza mchezo wake wa mwisho dhidi ya Mbao F C katika uwanja wa CCM Kirumba jijini mwanza kwa kukubali kipigo cha goli 1-0 . Pamoja na matokeo hayo bado klbu hiyo ya Yanga imefanikiwa kuwa bingwa wa VPL 2016/2017 kwa kuwa na point 68 sawa na wapinzani wao Simba lakini wakiwazidi idadi ya magoli ya kufungwa na kufunga kama inavyoonekana katika msimmo hapa chini. Yanga wamechukua ubingwa wao wa 27 na kuwafanya kuongoza kwa kuchukua mars nyingi zaidi . Nani kashuka ? Klabu tata zimeshuka daraja kutoka ligi kuu mpaka daraja la kwanza baada ya kuwa chini ya msimamo wa ligi kuu . Klabu hizo ni Toto African y mwanza , JKT Ruvu na African Lyon .
Comments