KIJANA ALIYEPOST POST YA UCHOCHEZI KUHUSU TUNDU LISU KUPIGWA LISASI AKAMATWA.




     Jeshi la polisi mkoani Arusha limemshikilia kijana mmoja afahamikaye kwa jina la Abuu aliyesambaza maneno makali kwenye akaunti yake ya Facebook maneno makali akisema , nibora mhe. Tundu Lisu angeuliwa na waliompiga lisasi . Kijana huyo anashikiliwa na polosi .

 Mpka sasa yupo kituo cha polisi ch kijenge mkoani Arusha kwa mahojiano zaidi .

  Kama hukusoma ujumbe ambao kijana Abuu aliusambaza nihuu hapa chini :


Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.