MSIMAMO WA VPL BAADA YA MICHEZO MIWILI YA LEO TAREH: 09/09/2017

Ligi kuu Tanzania bara imeendelea leo kwa michezo miwili kati ya Azam FC dhidi ya Simba SC , mchezo huu umemalizika kwa sare ya bila kufungana .
 Mchezo mwingine ulikuwa kati ya Tanzania Prison dhidi ya Maji maji mchezo ambao umemalizika kwa matoke ya sare goli 2 -2.

 Kufuatia matokeo hayo nimekuwekea msimamo wa ligi kuuVPL hapa chini.

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.