YANGA NA MORISONI WAMALIZANA USIKU HUU.
HABARI ZA MICHEZO : YANGA WAACHANA RASMI NA WINGA BENARD MORISON .
KUPITIA UKURASA WAO WA INSTAGRAM YANGA WAMEANDIKA KUWA : 𝗧𝗛𝗔𝗡𝗞 𝗬𝗢𝗨 Bernard Morrison
"Tunamshukuru Morrison kwa mchango wake katika kipindi chote alichokuwa nasi na tunamtakia kila la kheri katika maisha yake mapya nje ya Young Africans SC. "
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
Comments