MAYELE NA YANGA MAMBO SAFI KABISA
HABARI ZA MICHEZO : TETESI ZA SOKA MITAA YA JANGWANI .
Za chini ya Kapeti jioni ya leo kutoka kwenye kikao ni kuwa Mayele ataendelea kutetema ndani ya #nbcpremierleague baada ya kukubaliana kuongeza tena Miaka Miwili na sasa atalipwa milioni 28 kwa mwezi na kuwa mchezaji anayelipwa pesa nyingi zaidi katika Ligi kuu Tanzania.
Mayele amemzidi Azizi Ki anayelipwa milioni 24 kwa mwezi.
Msiyempenda bado yupo.
Comments