MAN CITY NA B'MUNICH VITA KALI JUU YA WALKER .
HABARI ZA MICHEZO : NANI KUMSAJILI WALKER KATI YA MAN CITY KUMBAKIZA AU BAYERN MUNICH .
Beki wa Manchester City, Kyle Walker yupo kwenye mazungumzo ya kuongeza mkataba kuendelea kuwatumikia mabingwa hao wa EPL, FA na Klabu Bingwa Ulaya licha ya kutakiwa na Bayern.
Bayern wanamuhitaji sana Walker lakini Man City wanamuhitaji zaidi beki huyo wa Uingereza.
#WasafiSports
By: Sam_Misangle
Whatsap : +255629552663
Comments