BARCELONA YAPIGA MTU 6-1 WAKATI REAL MADRID WAKITOA SARE 3-3

         Timu ya Barcelona Jana imeibuka na ushindi Wa goli 6-1 dhidi ya Sporting Gijion na kiwafanya kufikisha point 57 katika msimamo Wa ligi kuu Spain .

        Wakati Barcelona wakiibuka na ushindi huo timu ya Real Madrid wamebanwa mbavu na timu ya Las Palma's na kutoka sale ya goli 3-3 .

 Baada ya michezo hiyo kumalizika timu ya Barcelona imeshika nafasi ya kwanza katika msimamo Wa ligi hiyo na kufuatiwa na Real Madrid ingawa Real Madrid anamchezo mmoja mkononi

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.