LWANDAMINA : MECHI MOJA HAIWEZI KUTUNYIMA UBINGWA

Kocha mkuu Wa mabingwa watetezi Wa ligi kuu Tanzania Bara LWANDAMINA amesema kuwa mashabiki Wa timu hiyo hawatakiwi kukata tamaa kutokana na kupoteza mchezo uliopita dhidi ya wekundu Wa msimbazi weekend iliyopita Kwa kipigo cha 2-1 .
Akizungumzia mchezo Wa Wa leo dhidi ya RUVU SHOOTING kwenye uwanja Wa taifa amedai kuwa ushindi upo wamejipanga vizuri hivyo mashabiki hao wasikate tamaa
YANGA itashuka uwanjani Leo ikiw na kikosi chenye mabadiliko ya wachezaji watano ambapo watakao anza nipamoja na HASSAN KESSY, MWASHUYA , BOSOU , KASEKE na KANAVARO .

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.