MAALIM AVULIWA UKATIBU MKUU CUF.
Baraza kuu la uongozi Taifa chama cha wananchi ( CUF ) leo limemvua Maalim Seif nafasi ya ukaribu mkuu na kumpatia nafasi hiyo Magdalena Sakaya .
Taarifa ya hatua hiyo imetangazwa mapema leo na Prof. Ibrahimu Lipumba . Habari kamili zitakuja kupitia hapa
Comments