MCHEZO WA YANGA NA AZAM PATACHIMBIKA .
Ligi kuu weekend hii inarejea tena kwa michezo kadhaa. Moja ya mechi kali ni YANGA na AZAM , je yanga watakubali kipigo tena kutoka kwa Azam ? Au Azam watakubali kupigwa na Yanga ili kulipizia kipigo cha kombe la mapinduzi ? Majibu utayapata kupitia hapa kama utakuwa mbali na runinga yako .
Comments