MTIBWA YAIBANIA YANGA
Mchezo kati ya Mtibwa na Yanga umemalizika Kwa timu hizo kutoshana nguvu Kwa sare ya bila kufungana . Mchezo huo ulikuwa mhimu sana Kwa timu ya Yanga ambapo walihitaji sn matokeo ili waweze kuongoza ligi kuu . Mchezo huo umemaliza Kwa sare ya 0-0 lakini Saimoni Msuva Wa Yanga alipoteza mkwaju Wa penati . Hivyo yanga wanabakia katika nafasi yao ya pili .
Comments