MTWARA : MAGUFULI AAGIZA NDANI YA SIKU 7 DANGOTE APEWE ENEO LA KUCHIMBA MAKAA YA MAWE NA GAS IFIKE KIWANDANI KWAKE BILA KUPITIA SEHEMU YOYOTE .

      Rais Magufuli akiwa ziarani Mtwara ameagiza Mwekezaji Wa kiwanda cha cha Cement Dangote apewe eneo kwaajili ya kuchimba makaa ya mawe ili kuepuka usumbufu anaoupata wakati Wa shughuli za uendeshaji Wa kiwanda . Aidha ameagiza kuwa ndani ya siku saba hizo apatiwe eneo hilo na revenue za makaa hayo zichukuliwe kwake moja Kwa moja lakini pia amesisitiza kuwa uhitaji Wa ges katika kiwanda hicho ni mkubwa na ameshangazwa na kitendo cha gas kufika Dar es salaam ambapo kuna umbali Wa km 500 na kushindwa kufika katika kiwanda hicho ambacho kipo umbali Wa Km 10 tu kutoka source ya gas mpaka kiwandani hapo

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.