NAPE AMKABIDHI OFISI MWAKYEMBE DODOMA.
Aliyekuwa waziri wa sanaa, michezo, habari na utamaduni Mh. Nape leo mjini dodoma amemkabidhi rasmi ofisi waziri mpya wa wizara hiyo Mh. Mwakyembe , tukio hilo limefanyika mjini dodoma leo na akishuhudia utiaji wa saini hizo na makabidhiano hayo katibu mkuu wa wizarahiyo Prf. Elsante Ole Gabriel.
Comments