NAY WA MITEGO AKATAA KUUFANYIA WIMBO WA WAPO MAREKEBISHO.

      Msanii wa kizazi kipya miondoko ya Hip Hop aliyeachia wimbo mpya hivi karibuni unaokwenda kwa jina la Wapo uliosababishwa kukamatwa kwake na kukaa selo kwa saa kadhaa na wimbo huo kupigwa stop na Basata kwa madai kwamba wimbo huo unaikashifu serikali  kabla ya Rais Dk .  John Pombe Magufuli kuamuru aachiwe na kumpongeza kwa utunzi wake huku akimwambia kuwa, aongeze na mambo mengine katika wimbo huo .



 
    Msanii huyo ameibuka na kusema kuwa hawezi kufanya marekebisho na hapingani na mhe.  "Haikuwa kwa ubaya , hakuna cha kurekebisha kwenye wimbo wetu wa wapo ila aliyosema Mh. tutayafanyia kazi .  Huu ni wmbo wenu mashabiki wangu wote Tanzania na Duniani kote , WAPO ni wimbo ambao ujumbe umeanza kufika . Hakuna ata kay eba dili sha mtizamo wangu alisema .

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.